Sunday, December 20, 2020

Jinsi ya Kupata Internet Sehemu Isiyo na Network (Hasa Vijijini) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kupata Internet Sehemu Isiyo na Network (Hasa Vijijini)

Kipindi hichi cha sikukuu watu wengi usafiri kwenda sehemu mbalimbali ambazo nyingi zinakuwa na shida ya network au mtandao, hii hufanya watu wengi kushindwa kuwasiliana au kukosa internet pale tu wanapokuwa sehemu hizo ambazo minara ya mawasiliano inakuwa mbali. Kupitia makala hii nitaenda kukwambia njia kadhaa ambazo zinaweza kukusaidia kupata mawasiliano ya simu au internet […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kupata Internet Sehemu Isiyo na Network (Hasa Vijijini)

Saturday, December 19, 2020

Apps za Kufanya Meseji za WhatsApp Zijitume Zenyewe {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Apps za Kufanya Meseji za WhatsApp Zijitume Zenyewe

Ni kweli kuwa biashara nyingi siku hizi zina hamia mtandaoni, hii ni kutokana na urahisi wa mawasiliano unaoletwa na teknolojia. Lakini ni wazi kuwa kama binadamu sio kila mara unaweza kuwa na simu yako mkononi ukiwa tayari kuchat na wateja. Kuliona hili nimekuletea apps nzuri ambazo zinaweza kukusaidia sana kujibu meseji za WhatsApp za wateja […]

Soma Zaidi : Apps za Kufanya Meseji za WhatsApp Zijitume Zenyewe

Friday, December 18, 2020

Jinsi ya Ku-Activate Mfumo wa Windows 10 Bila Programu {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Ku-Activate Mfumo wa Windows 10 Bila Programu

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mfumo wa Windows na ungependa sasa kuwa na mfumo mpya wa Windows 10 basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kujifunza jinsi ya ku-activate mfumo mpya wa Windows 10 kwenye kompyuta yako bila kutumia programu yoyote. Kumbuka njia hizi zinaitaji uwe umesha install mfumo […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Ku-Activate Mfumo wa Windows 10 Bila Programu

Thursday, December 17, 2020

Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahitaji kutumia microphone kwa sasa basi huenda njia hii ikakusaidia sana. Kupitia hapa nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia badilisha simu yako ya Android na kutumia kama Microphone. Njia hii ni nzuri na rahisi na inaweza kufanya kazi kwenye simu zote za iPhone pamoja na Android, unacho […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone

Wednesday, December 16, 2020

TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Kampuni ya simu TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Christmas na Mwaka Mpya. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya “TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI” terehe 11/12/2020 ambapo mteja atakaye nunua TECNO Camon 16s na Spark 5pro basi moja kwa moja atakuwa ameingia kwenye droo ya kushindania Mashine ya kufulia, Flat TV, […]

Soma Zaidi : TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Skip Matangazo ya YouTube Bila Kubofya Sehemu Yoyote {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Skip Matangazo ya YouTube Bila Kubofya Sehemu Yoyote

Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Youtube basi ni wazi kuwa kuna wakati unataka kuangalia video kupitia simu yako bila kubofya “Skip” ili kurusha tangazo. Mara nyingi hii inatokea kama umeshika simu yako kwa mkono mmoja. Sasa kuliona hili leo nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia ili kuweza “ku-skip” tangazo bila kubofya kwenye simu […]

Soma Zaidi : Skip Matangazo ya YouTube Bila Kubofya Sehemu Yoyote

CRDB Yawapa Zawadi za Kufunga Mwaka Wanafunzi wa Vyuoni {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

CRDB Yawapa Zawadi za Kufunga Mwaka Wanafunzi wa Vyuoni

Benki ya CRDB imetoa zawadi kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini ikiwa ni sehemu ya kampeni ya JIPE 5 ambayo ilizinduliwa mwezi Oktoba mwaka huu ikiwa na malengo ya kuhamasisha Watanzania kujiwekea akiba kuelekea mwisho wa mwaka. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Meneja Mwandamizi wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, […]

Soma Zaidi : CRDB Yawapa Zawadi za Kufunga Mwaka Wanafunzi wa Vyuoni

Tuesday, December 15, 2020

Fuatilia Michezo Yote Duniani kwa Urahisi Kupitia Njia Hii {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Fuatilia Michezo Yote Duniani kwa Urahisi Kupitia Njia Hii

Najua wewe ni mpenzi wa habari za michezo ndio maana unasoma makala hii kwa sasa, kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia ambayo na uhakika kwa asilimia 100 utaipenda sana na utaendelea kuitumia kila siku kuanzia siku ya leo. Njia hii itakusaidia kupata taarifa za michezo yote duniani ikiwa pamoja na michezo pendwa ya mpira wa […]

Soma Zaidi : Fuatilia Michezo Yote Duniani kwa Urahisi Kupitia Njia Hii

Sponsored : CRDB Yaendelea Kuibuka Kinara Tuzo za Mabenki {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Sponsored : CRDB Yaendelea Kuibuka Kinara Tuzo za Mabenki

Benki ya CRDB imeibuka na tuzo ya benki ya ndani ya nchi inayopendwa zaidi (Most Preferred Domestic Bank of the Year) katika tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards 2020 zilizofanyika mwishoni wa wiki iliyopita. Tuzo hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tangu Benki ya CRDB ilipoibuka kinara katika tuzo zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu […]

Soma Zaidi : Sponsored : CRDB Yaendelea Kuibuka Kinara Tuzo za Mabenki

Monday, December 14, 2020

Jinsi ya Kutengeneza Picha za Instagram Grid na Panorama {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kutengeneza Picha za Instagram Grid na Panorama

Kama wewe ni mtumiaji wa muda mrefu wa mtandao wa instagram ni wazi kuwa umeshawahi kuona picha za instagram za Grid na panorama crop, picha hizi kuwa kwenye mitindo mbalimbali ambayo huvutia sana hasa pale inapotumika kutoa ujumbe fulani. Kama unavyoweza kuona picha hapo juu, huo ni mfano wa kwanza wa Grid panorama crop, ambapo […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kutengeneza Picha za Instagram Grid na Panorama

Sio Wewe Pekee Baadhi ya Huduma za Google Hazipo Hewani {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Sio Wewe Pekee Baadhi ya Huduma za Google Hazipo Hewani

Kama umekuwa unatumia huduma za Google kama vile YouTube, Play Store na huduma nyingine kama Gmail, Adsense na nyingine kama hizo. Kama kwa muda huu umekutana error au picha kama hiyo hapo chini basi ni vyema kufahamu kuwa kwa sasa huduma za Google hazipatikana kwa nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania. Bado hadi sasa tunaendelea kufuatilia […]

Soma Zaidi : Sio Wewe Pekee Baadhi ya Huduma za Google Hazipo Hewani

Sunday, December 13, 2020

Tumia Programu ya WhatsApp Kipekee Kwa Kutumia Njia Hii {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tumia Programu ya WhatsApp Kipekee Kwa Kutumia Njia Hii

WhatsApp ni moja kati ya programu inayotumiwa na watu wengi sana siku hizi, programu hii inatumiwa na watu kuliko hata sehemu ya SMS ambayo inakuwa kwenye simu nyingi za Android. Kuliona hili, leo Tanzania tech nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia programu ya WhatsApp kipekee na kisasa kabisa. Njia hii ni bora kuliko njia nyingine […]

Soma Zaidi : Tumia Programu ya WhatsApp Kipekee Kwa Kutumia Njia Hii

Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #14, wiki iliyopita hatukua na kipengelea hichi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kama wewe ni mpenzi wa kipengele hichi unaweza kutoa maoni hapo chini kama unataka tuendelee na kipengele hichi. Kwa siku ya leo nakurudisha nyuma kidogo mwaka 2018 na hii ni moja ya […]

Soma Zaidi : Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Saturday, December 12, 2020

Tovuti Inayo Tengeneza Hadi Dollar $300 Kwa Mwezi {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tovuti Inayo Tengeneza Hadi Dollar $300 Kwa Mwezi

Habari karibu kwenye makala nyingine ya jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni, kupitia makala hii nitakuonyesha jinsi nilivyoweza kutengeneza tovuti moja ambayo imenisaidia kutengeneza pesa mtandaoni hadi kufikia kiasi cha dollar $300 kwa mwezi. Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tanzania tech, basi hii itakuwa sio mara yako ya kwanza kusikia kuhusu njia hizi. Pia ningependa ufahamu […]

Soma Zaidi : Tovuti Inayo Tengeneza Hadi Dollar $300 Kwa Mwezi

Friday, December 11, 2020

Zifahamu Menu za Siri Kwenye Simu Yako ya Android {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Zifahamu Menu za Siri Kwenye Simu Yako ya Android

Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android ni wazi hadi sasa unahisi unaijua simu yako. Lakini naomba nikwambie ukweli kuwa “teknolojia haina mjuzi asilimia 100″ kwani ni wazi kuwa hata wewe uwe mtaalamu kiasi gani ni lazima kuna kitu utakuwa haufahamu ambacho mtu mwingine anakijua. Sasa kuliona hilo leo nataka niongeze list ya vitu […]

Soma Zaidi : Zifahamu Menu za Siri Kwenye Simu Yako ya Android

Thursday, December 10, 2020

Jinsi ya Kuchukua Screenshot Kwenye Kompyuta (Windows) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kuchukua Screenshot Kwenye Kompyuta (Windows)

Ni wazi kuwa hapa Tanzania tech tumekuwa tukijifunza kwa pamoja mambo mbalimbali ambayo mengi inawezekana ulikuwa ufahamu kabla, lakini ni wazi kuwa kuna wakati tumekuwa tukisahau mambo madogo ambayo ni muhimu kwa watumiaji wote. Kama wewe sio mtumiaji wa kompyuta wa leo huwenda unaona makala hii haina maana kwako, lakini ni wazi kuwa kila mtumiaji […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kuchukua Screenshot Kwenye Kompyuta (Windows)

Wednesday, December 9, 2020

Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi)

Android ni moja kati ya mfumo ambao una mambo mengi sana, hadi sasa ni mambo machache sana ambayo tayari watumiaji wa kawaida wanafahamu kuhusu mfumo huu. Kuliona hilo leo Tanzania tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kujua code za siri za simu yako ikiwa pamoja na simu nyingine kama Samsung na simu nyingine. Tofauti […]

Soma Zaidi : Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi)

Tuesday, December 8, 2020

Video : Muonekano wa Simu Mpya za Galaxy S21 (2021) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Video : Muonekano wa Simu Mpya za Galaxy S21 (2021)

Takribani wiki tatu sasa kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu ujio wa simu mpya za Samsung Galaxy S21 ambazo zinategemewa kuja mapema kuliko ilivyo zoeleka. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, simu za Galaxy S21, S21+, na S21 Ultra zinatarajiwa kuja mwanzoni kabisa wa mwaka 2021, ikiwa ni siku 14 baada ya mwaka mpya. Simu hizo zinatarajiwa […]

Soma Zaidi : Video : Muonekano wa Simu Mpya za Galaxy S21 (2021)

Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni watumiaji wa mtandao basi lazima unajua kuwa amazon ni moja ya mitandao mikubwa duniani inayo uza bidhaa mbalimbali kupitia mtandao. Lakini wakati mwingine kutokana na gharama kubwa imekuwa ni ngumu kwa watanzania wengi kushindwa kununua bidhaa kutoka tovuti hiyo kubwa duniani. Kuliona hilo leo kupitia makala hii […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia

Monday, December 7, 2020

Tweet na Akaunti Zilizofanya Vizuri Twitter Mwaka (2020) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tweet na Akaunti Zilizofanya Vizuri Twitter Mwaka (2020)

Baada ya jana kuangalia list ya video zilizo angaliawa zaidi kwenye mtandao wa YouTube, leo ni zamu ya Twitter na leo ninakuletea akaunti mbalimbali za twitter zilizofanya vizuri ikiwa pamoja na tweet mbalimbali ambazo zimefanya vizuri. Kupitia makala hii tuta angalia vipengele mbalimbali ikiwa pamoja na tweet zilizopata retweet nyingi duniani, watu walio zungumziwa sana […]

Soma Zaidi : Tweet na Akaunti Zilizofanya Vizuri Twitter Mwaka (2020)

Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020

Wakati tukiwa tunahesabu wiki kadhaa hadi kumaliza mwaka 2020, sasa ni muda wa kuanza kuhesabu zile 10 bora za mambo mbalimbali kama ilivyo utaratibu wetu hapa Tanzania tech. Kwa siku ya leo nimekuletea list ya video kumi (10) ambazo zimeangaliwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube hadi sasa mwaka 2020. Video hizo ni zile ambazo zina […]

Soma Zaidi : Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020

Watumiaji wa WhatsApp Kupoteza Akaunti Bila Kukubali Vigezo {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Watumiaji wa WhatsApp Kupoteza Akaunti Bila Kukubali Vigezo

Habari mpya siku za karibuni zinasema kuwa, kampuni ya Facebook kupitia app yake ya WhatsApp hivi karibuni inategemea kulazimisha watumiaji kukubali vigezo na masharti ya utumiaji wa programu hiyo kwenye sheria zake mpya. Sheria hizo ambazo zinatarajiwa kuanza kutumika rasmi tarehe 8 mwezi wa pili mwaka 2021, zinadai kuwa mtumiaji yoyote ambaye hata kubali vigezo […]

Soma Zaidi : Watumiaji wa WhatsApp Kupoteza Akaunti Bila Kukubali Vigezo

Saturday, December 5, 2020

Download Video za Facebook, Instagram na YouTube Kwa Pamoja {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Download Video za Facebook, Instagram na YouTube Kwa Pamoja

Ni wazi kuwa tumesha ongelea mara nyingi sana jinsi ya kudownload video, mp3 au picha kutoka mitandao mbalimbali ya kama Instagram, Facebook na YouTube. Lakini kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ya kudownload video, picha na mp3 kutoka mitandao yote ya kijamii kwa urahisi kwa wakati mmoja. Huna haja ya kuwa na apps nyingi kwenye […]

Soma Zaidi : Download Video za Facebook, Instagram na YouTube Kwa Pamoja

Friday, December 4, 2020

Jinsi ya Kuandika Maandishi Instagram kwa Font za Tofauti ✍️ {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kuandika Maandishi Instagram kwa Font za Tofauti ✍️

Instagram ni moja kati ya mtandao ambao kwa sasa ni sehemu muhimu sana ya kutafuta masoko kwa kampuni yoyote au biashara yoyote binafsi. Siku chache zilizopita tulizingumzia njia ya kutengeneza matangazo bora ambayo yanaweza kusaidia kupata wateja zaidi kupitia mtandao wa Instagram. Lakini pamoja na hayo, kutengeneza matangazo bora pekee haitoshi kwani watu wengi hutumia […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kuandika Maandishi Instagram kwa Font za Tofauti ✍️

Thursday, December 3, 2020

Jinsi ya Kujiweka kwenye Google Search Kama Mtu Maarufu {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kujiweka kwenye Google Search Kama Mtu Maarufu

Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa mambo mengi sana yanaenda kidigital, siku hizi imekuwa ni muhimu sana kwa mtu yoyote kuweza kuwa na wasifu mzuri mtandaoni kwani hii inaweza kusaidia wewe kufanikiwa kwenye mambo mbalimbali ya muhimu. Kuliona hili leo nimekuletea njia mpya na rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kuweka jina lako kwenye […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kujiweka kwenye Google Search Kama Mtu Maarufu

Wednesday, December 2, 2020

TikTok Kuanza Majaribio ya Video Ndefu za Hadi Dakika 3 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

TikTok Kuanza Majaribio ya Video Ndefu za Hadi Dakika 3

Kampuni ya Byte Dance kupitia app yake ya TikTok hivi karibuni imeanza majaribio ya video mpya ambazo zinasemekana kuwa na muda wa hadi dakika 3. Kwa mujibu wa tovuti ya The verge, inasemekana watumiaji wataweza kuruhusiwa kurekodi au kuweka video zenye urefu wa hadi dakika 3 kwa kupitia toleo jipya la app ya TikTok au […]

Soma Zaidi : TikTok Kuanza Majaribio ya Video Ndefu za Hadi Dakika 3

Tetesi : Samsung kusitisha Simu za Galaxy Note (2021) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tetesi : Samsung kusitisha Simu za Galaxy Note (2021)

Habari mpya hivi karibuni zinasema, huwenda kampuni ya Samsung ikasitisha kutoa simu mpya za Samsung Galaxy Note mwaka 2021 kutokana na janga la corona. Kwa mujibu wa tovuti ya reuters, inasemekana kuwa kampuni hiyo itawekeza rasilimali zake kwenye simu za Galaxy S21 na simu zinazo jikunja za Galaxy fold. Tetesi kutoka tovuti ya reuters zinasema […]

Soma Zaidi : Tetesi : Samsung kusitisha Simu za Galaxy Note (2021)

Rudisha Mafile Yaliyofutika Kwenye Kompyuta, Simu na Flash {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Rudisha Mafile Yaliyofutika Kwenye Kompyuta, Simu na Flash

Ni wazi kuwa hakuna mtumiaji wa vifaa vya kielektroniki kama kompyuta, simu au USB flash ambaye hajawahi kupoteza au kufuta kitu kwa bahati mbaya na baadae kuhitaji kurudisha kitu hicho. Najua nilishawahi kuongelea njia nyingine za kurudisha vitu vilivyo futika kwenye simu yako, lakini njia hii ni njia ya tofauti na ambayo pengine inaweza kuchagia […]

Soma Zaidi : Rudisha Mafile Yaliyofutika Kwenye Kompyuta, Simu na Flash

WhatsApp Yaleta Njia Mpya ya Kuweka Wallpaper Kwenye Chat {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

WhatsApp Yaleta Njia Mpya ya Kuweka Wallpaper Kwenye Chat

Toleo jipya la WhatsApp limetoka hivi karibuni na moja kati ya sehemu mpya ambayo imeboreshwa ni sehemu ya Wallpaper ambayo sasa utaweza kuweka Wallpaper tofauti kwenye kila chat ndani ya programu hiyo. Mbali ya kuweka Wallpaper tofauti kwenye kila chat ambayo hii inaweza kusaidia sana kujua ni nani unamtumia meseji kwa urahisi. Pia WhatsApp imeleta […]

Soma Zaidi : WhatsApp Yaleta Njia Mpya ya Kuweka Wallpaper Kwenye Chat

Tuesday, December 1, 2020

Kwanini Infinix NOTE 8 ni Simu Pendwa kwa Mwaka 2020 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Kwanini Infinix NOTE 8 ni Simu Pendwa kwa Mwaka 2020

Toleo jipya la simu ya Infinix 8 Note iliyozinduliwa hivi karibuni imebeba processor aina ya Helio G80 ikiwa ndio sifa kuu kwa simu hiyo na kupelekea kuvunja rekodi yake yenyewe kwa kuja na simu janja yenye mfumo wa kukidhi mahitaji ya wadau wenye matumizi makubwa ya simu. Infinix NOTE 8 imekuja na sifa nyengine zenye […]

Soma Zaidi : Kwanini Infinix NOTE 8 ni Simu Pendwa kwa Mwaka 2020

Google Yatangaza Hizi Hapa Apps Bora Kwa Mwaka 2020 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Google Yatangaza Hizi Hapa Apps Bora Kwa Mwaka 2020

Kila mwisho wa mwaka, Google hutoa nafasi kwa wabunifu kupata tuzo ya kujulikana kuwa app bora kwenye soko la Play Store. Mwaka huu google ilitangaza list ya app ambazo zimeingia kwenye mchujo na kupigiwa kura na kuwa apps bora kwa mwaka 2020 kwenye soko la play. List hii ni ndefu lakini kupitia makala hii nitakuwekea […]

Soma Zaidi : Google Yatangaza Hizi Hapa Apps Bora Kwa Mwaka 2020

Njia za Kutengeneza Matangazo Bora ya Instagram na FB {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Njia za Kutengeneza Matangazo Bora ya Instagram na FB

Ni ukweli usio pingika kuwa Instagram ni moja kati ya sehemu bora sana za kupata wateja wapya, hii inatokana na wingi wa watu wanaotuma mtandao huo ambao hadi sasa inasemekana mtandao huo unao zaidi ya watumiaji bilioni 1 kila mwezi, namba hii inaenda ikiongezeka kwa kasi. Sasa kupitia zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi […]

Soma Zaidi : Njia za Kutengeneza Matangazo Bora ya Instagram na FB

Jinsi ya Kupata Internet Sehemu Isiyo na Network (Hasa Vijijini) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Kipindi hichi cha sikukuu watu wengi usafiri kwenda sehemu mbalimbali ambazo nyingi zinakuwa na shida ya network au mtandao, hii hufanya wat...