Monday, November 30, 2020

Tovuti za Kujifunza Kutengeneza Apps na Website Bure 100% {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tovuti za Kujifunza Kutengeneza Apps na Website Bure 100%

Kwa muda sasa nimekua nikipokea maombi ya kufundisha watu mbalimbali jinsi ya kutengeneza programu na website mbalimbali. Kwa kuwa muda hautoshi inanibidi kutoa masomo hapa hasa kwenye hatua za kutengeneza website ambazo zinaweza kusaidia kutengeneza pesa mtandaoni. Lakini kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kujifunza kutengeneza website au application mbalimbali basi makala hii […]

Soma Zaidi : Tovuti za Kujifunza Kutengeneza Apps na Website Bure 100%

Kubadilisha Muonekano au “Theme” Kwenye Instagram DM {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Kubadilisha Muonekano au "Theme" Kwenye Instagram DM

Instagram imekuwa ikibadilisha vitu mbalimbali kwenye app yake bila watu wengi sana kuweza kujua. Kwa siku ya leo nimekuletea moja ya sehemu hiyo ambayo inaweza kusaidia kubadilisha theme au muonekano kwenye sehemu ya DM kupitia app yako ya Instagram. Kama unavyoweza kuona picha hapo juu, sehemu yako ya DM inaweza kuwa na muonekano mbalimbali kwa […]

Soma Zaidi : Kubadilisha Muonekano au “Theme” Kwenye Instagram DM

Sunday, November 29, 2020

Cheza Games za Android kwenye Kompyuta (Windows) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Cheza Games za Android kwenye Kompyuta (Windows)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni wapenzi wa kucheza game kwenye simu basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kucheza game za Android kupitia kompyuta yako ya Windows. Kabla ya kuanza ni vyema uhakikishe kuwa unayo kompyuta yenye mfumo wa Windows, napendekeza zaidi toleo […]

Soma Zaidi : Cheza Games za Android kwenye Kompyuta (Windows)

Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii

Karibu kwenye Sunday movie, kama kawaidia siku ya leo nakuletea movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya leo. Kumbuka unaweza kupakua movie hii kupitia link hapo chini lakini kabla ya kufanya hivyo ni muhimu kuangalia trailer hapo chini kujua kama movie hii inafaa kwako. Kama umependa movie unaweza kupakua movie hii kupitia link hapo chini, […]

Soma Zaidi : Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii

Saturday, November 28, 2020

Hizi Hapa Apps Kwaajili ya Wanachuo Mwaka wa Kwanza {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Hizi Hapa Apps Kwaajili ya Wanachuo Mwaka wa Kwanza

Baada ya kuandika kuhusu app ya jana ya Truecaller pro, baadhi yenu mlikuja mkiuliza app nyingine nyingi ikiwa pamoja na apps bora kwa ajili ya wanachuo wa mwaka wa kwanza. Kabla ya kuanza, naomba nikubali kuwa zoezi hilo limekuwa gumu sana kutokana na kuwa app nyingi sana matumizi yake sio ya lazima kwa wanafunzi wa […]

Soma Zaidi : Hizi Hapa Apps Kwaajili ya Wanachuo Mwaka wa Kwanza

Friday, November 27, 2020

Fahamu Anaepigia Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Fahamu Anaepigia Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)

Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa programu ya Truecaller basi habari njema kwako kwani kupitia makala hii nitakuonyesha jinsi ya kupata toleo la app ya Truecaller Pro bila kulipia kitu chochote. Pengine unajiuliza kwanini imebidi mpaka kuandikia makala yake..?, Ni wazi kuwa Truecaller ni moja kati ya programu bora sana ambazo zinaweza kukusaidia kujua […]

Soma Zaidi : Fahamu Anaepigia Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)

Thursday, November 26, 2020

Video: Je Wajua Aina za Roboti Wanaofanana na Wanyama.? {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Video: Je Wajua Aina za Roboti Wanaofanana na Wanyama.?

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ni wazi kuwa wanasanyansi wamekuwa wakijaribu kutengeneza roboti mbalimbali ambazo pengine zinafanana binadamu na hata wanyama pia. Kwa sasa naweza kusema asilimia kubwa ya roboti hizo zinatumika kufanya kazi mbalimbali ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa binadamu. Kupitia makala hii ya je wajua, nimekusogezea video hii yenye kuonyesha roboti […]

Soma Zaidi : Video: Je Wajua Aina za Roboti Wanaofanana na Wanyama.?

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kutumia USB Port Kwenye Kompyuta {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kutumia USB Port Kwenye Kompyuta

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahitaji kuzuia watu wengine kuchomeka USB Flash au vifaa vya kuweka data au kutoa au kuweka data kwenye kompyuta yako basi makala hii ni muhimu kwako. Kupitia makala hii nitakuonyesha hatua chache ambazo unaweza kufanya ili kuweza kuzuia mtu kuchomeka Flash, au Hard Disk kwenye kompyuta yako. Njia […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kuzuia Mtu Kutumia USB Port Kwenye Kompyuta

Wednesday, November 25, 2020

Twitter Kuanza Tena Kuthibitisha Akaunti (Verified Badge) 2021 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Twitter Kuanza Tena Kuthibitisha Akaunti (Verified Badge) 2021

Baada ya miaka mitatu Twitter kutangaza kusitisha hatua za kuthibitisha akaunti mbalimbali, hivi karibuni kampuni hiyo imetangaza kuanza tena kuthibitisha akaunti kuanzia mapema mwaka 2021. Mbali na kuthibitisha akaunti, Twitter pia imesema kuwa inategemea kuleta aina mpya za akaunti, ikiwa pamoja na label au vitambulishi vipya vya akaunti kupitia mtandao huo. Kulingana na sera iliyopendekezwa […]

Soma Zaidi : Twitter Kuanza Tena Kuthibitisha Akaunti (Verified Badge) 2021

Tuesday, November 24, 2020

Serikali ya India Yafungia App ya AliExpress na Nyingine 42 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Serikali ya India Yafungia App ya AliExpress na Nyingine 42

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa application hizo ni sawa na sababu zile ambazo zilitolewa wakati app […]

Soma Zaidi : Serikali ya India Yafungia App ya AliExpress na Nyingine 42

Jinsi ya Kutuma Meseji Zinazojifuta Zenyewe WhatsApp {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kutuma Meseji Zinazojifuta Zenyewe WhatsApp

Hivi karibuni app ya WhatsApp imeongezewa sehemu mpya mbalimbali na moja kati ya sehemu hizo ni pamoja na sehemu ambayo inakuwezesha kutuma meseji ambazo zinaweza kujifuta zenyewe baada ya muda maalum. Tofauti na sehemu ya kufuta meseji ya “delete for everyone” ambayo mtumiaji anaweza kufuta meseji mwenyewe, sehemu hii mpya yenyewe ufuta meseji yenyewe bila […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kutuma Meseji Zinazojifuta Zenyewe WhatsApp

Monday, November 23, 2020

Zima na Washa Simu Kwa Kuweka Mkono Juu ya Simu {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Zima na Washa Simu Kwa Kuweka Mkono Juu ya Simu

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanatafuta njia rahisi zaidi ya kuzima na kuwasha simu yako bila kutumia sehemu ya kuzima na kuwasha ambayo mara nyingi huwa pembeni ya simu yako basi makala hii ni kwaajili yako. Kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ambayo utaweza kuzima na kuwasha simu yako kwa kuweka mkono juu […]

Soma Zaidi : Zima na Washa Simu Kwa Kuweka Mkono Juu ya Simu

Tengeneza Tovuti ya Blogger ya Kupakua MP3 Kutoka Youtube {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tengeneza Tovuti ya Blogger ya Kupakua MP3 Kutoka Youtube

Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa mtandao wa blogger basi pengine huu ni wakati wako wa kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia njia mbalimbali ambazo tunaendelea kuzionyesha hapa Tanzania tech. Kwa siku ya leo nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kutengeneza tovuti ya blogger ambayo itakuwa inasaidia watu mbalimbali kudownload nyimbo za mp3 kutoka mtandao […]

Soma Zaidi : Tengeneza Tovuti ya Blogger ya Kupakua MP3 Kutoka Youtube

Sunday, November 22, 2020

Hizi Hapa Website Nzuri za Kurahisisha Mambo Mbalimbali {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Hizi Hapa Website Nzuri za Kurahisisha Mambo Mbalimbali

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafuatilia tovuti ya Tanzania tech basi lazima utakua unajua kuwa tunayo list ya app nzuri ambazo huwa tunazitoa kila mwezi mara moja. Kwa siku ya leo nitaenda kuanza list mpya ambayo tutakuwa tuna angalia website nzuri ambazo zinaweza kukusaidia kurahisisha mambo mbalimbali kwa haraka na urahisi. Kwa siku […]

Soma Zaidi : Hizi Hapa Website Nzuri za Kurahisisha Mambo Mbalimbali

Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye sunday movie, kama kawaida siku ya leo nimekuletea movie nzuri ambayo unaweza kuangalia jumapili hii unapokuwa nyumbani kwako. Jumapili ya leo nimekuletea movie hii ambayo inahusu teknolojia na pia huku inafundisha kwa namna yake kutokuwa na muda zaidi na teknolojia kuliko maswala mengine ambayo yanafanya sisi wanadamu kuwa bora zaidi. Anyway unaweza kuangalia […]

Soma Zaidi : Sunday Movie #12 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Friday, November 20, 2020

Mazoezi Bora kwa Watumiaji wa Kompyuta wa Muda Mrefu {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Mazoezi Bora kwa Watumiaji wa Kompyuta wa Muda Mrefu

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanatumia muda mwingi kukaa ukiwa nafanyakazi kwa kutumia kompyuta basi makala hii ni yako. Pia kama unatumia simu kwa muda mrefu ukiwa umekaa sehemu moja basi makala hii inaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine. Kupitia makala ya leo nitaenda kuonyesha mazoezi maalumu ambayo ni bora kwako wewe […]

Soma Zaidi : Mazoezi Bora kwa Watumiaji wa Kompyuta wa Muda Mrefu

Thursday, November 19, 2020

Vodacom na Infinix Wazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 8 {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Vodacom na Infinix Wazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 8

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, kwa kushirikiana na Infinix leo imetambulisha rasmi simu mpya aina ya Infinix NOTE 8. Simu hii mpya itaambatana na ofa ya GB 96 za internet kutoka Vodacom Tanzania PLC kwa Mwaka mzima. Simu ya Infinix NOTE 8 ni ya kwanza toka kampuni hiyo, kuundwa […]

Soma Zaidi : Vodacom na Infinix Wazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 8

Wednesday, November 18, 2020

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Kuuza na Kununua Bure (DK 20) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Kuuza na Kununua Bure (DK 20)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao kwa namna moja ama nyingine unatamani kumiliki biashara mtandaoni basi huu ndio wakati wako, kupitia makala hii nitashare na wewe njia rahisi ambayo unaweza kutengeneza tovuti bora ya kuuza na kununua bure kabisa. Kama unataka kujua zaidi kuhusu tovuti hii basi unaweza kubofya link hapo chini kuangalia mfano […]

Soma Zaidi : Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Kuuza na Kununua Bure (DK 20)

Tuesday, November 17, 2020

Tetesi : Jiandae na Simu Mpya ya Galaxy S21 Mapema (2021) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Tetesi : Jiandae na Simu Mpya ya Galaxy S21 Mapema (2021)

Wakati ikiwa taratibu tunasogelea mwisho wa mwaka 2020, kampuni ya Samsung hivi karibuni inatarajiwa kuzindua simu yake mpya ya Galaxy S21. Pengine unajiuliza hivi karibuni ni lini.? Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali inasemekana kuwa simu mpya ya Galaxy S21 inatarajiwa kuja mapema kuliko ambavyo imezoeleka. Inasemekana kuwa simu hii inatarajiwa kuja kwa matoleo matatu, toleo […]

Soma Zaidi : Tetesi : Jiandae na Simu Mpya ya Galaxy S21 Mapema (2021)

Jinsi ya Kupata Internet Sehemu Isiyo na Network (Hasa Vijijini) {MamboPulse, BoraMasika, TanzaniaPulse}

Kipindi hichi cha sikukuu watu wengi usafiri kwenda sehemu mbalimbali ambazo nyingi zinakuwa na shida ya network au mtandao, hii hufanya wat...